Jumatatu, 19 Mei 2014

Yaliyojiri kwenye maonyesho ya UDSM

Branch Manager UCC Dodoma Mr Shomari Mang,ando akitoa maelezo kwa Mh. John Mnyika
Naibu Spika wa Bunge Mh. Job Ngugai akitoa maoni yake kuhusu maonyesho ya UDSM, kutoka kulia ni Dr. A. Towo na Mr Peter Munthali

 Mr ChamwanaKakombe kutoka TATAKI UDSM akitoa maelezo ya vitabu kwa Mh. Dr. Mohammed Seif Khatib

Mr Daniel Steven kutoka UDSM akitoa maelezo kwa Mh. John Mnyika
From left: Ms Bahati Dyegula, Dr Koku Katunzi Molel and Ms Joyce Kidyalla from UDSM
Mr Peter kutoka UDSM

Maonyesho ya chuo kikuu cha DSM Bungeni Dodoma

Branch Manager wa Dodoma Branch Mr Shomari Mang'ando akielezea huduma za UCC kwa Dr Mohamed Seif Khatibu

maonyesho ya chuo kikuu cha DSM Bungeni Dodoma